Fundi akifanya kazi kwenye engine ya gari – J5Gear

Tangu 2015 · Mwanza & Dar es SalaamSince 2015 · Mwanza & Dar es Salaam

Tunajua gari lako.Tunajua kazi yetu.We know your car.We know our work.

Kuanzia computer diagnosis na key programming hadi service na matengenezo ya magari ya Japan na Ulaya.From computer diagnostics and key programming to servicing and repairs for Japanese and European cars.

Tuna utaalamu maalum wa magari haya.We specialise in these car makes.

  • Toyota
  • Nissan
  • Subaru
  • BMW

Huduma ZetuOur Services

Gari lako, utaalamu wetu.Your car, our expertise.

Iwe ni tatizo la mfumo wa umeme, funguo, engine au service, tupo kukusaidia.From electrical faults and car keys to engine problems and servicing, we are here to help.

Computer DiagnosisComputer Diagnostics

Computer diagnosis ni nini?What is computer diagnosis?

Computer diagnosis ni utaratibu wa kusoma taarifa kutoka kwenye mfumo wa computer ya gari ili kubaini matatizo yaliyogunduliwa na mfumo huo. Taarifa hizo zinasaidia kufuatilia chanzo cha tatizo badala ya kubadilisha spare bila kujua tatizo lilipo.Computer diagnosis involves reading information from a vehicle's computer systems to identify faults detected by those systems. This information helps investigate the cause of a problem rather than replacing parts without understanding what is wrong.

Dalili kwamba gari lako linahitaji diagnosis:Signs that your car needs diagnostics:

  • Taa ya check engine au warning light nyingine imewaka kwenye dashboard.The check engine light or another dashboard warning light is on.
  • Gari linakosa nguvu, linazima au linasumbua wakati wa kuwasha.Your car loses power, stalls or has difficulty starting.
  • Gari linaonesha tatizo ambalo chanzo chake hakijafahamika.Your car has a problem whose cause has not been identified.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunasikiliza maelezo yako kuhusu tatizo la gari.We listen to your description of the vehicle problem.
  2. 2Tunafanya computer diagnosis na uchunguzi unaohitajika.We carry out computer diagnostics and the necessary investigation.
  3. 3Tunakueleza tulichobaini na matengenezo yanayohitajika.We explain our findings and the repairs required.

Gari lako linaonesha dalili hizi? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Is your car showing these signs? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

Key Programming

Key programming ni nini?What is key programming?

Key programming ni utaratibu wa kufanya ufunguo, remote au smart key itambulike na mfumo wa usalama wa gari. Kutegemea aina ya gari, ufunguo unaweza kuhitaji programming ili uweze kufungua milango au kuruhusu gari kuwaka.Key programming is the process of making a key, remote or smart key recognised by a vehicle's security system. Depending on the vehicle, a key may require programming to unlock the doors or allow the car to start.

Dalili kwamba unahitaji huduma hii:Signs that you need this service:

  • Umebaki na ufunguo mmoja na unahitaji spare key.You have only one key left and need a spare.
  • Remote au smart key yako haifanyi kazi kama kawaida.Your remote or smart key is not working normally.
  • Umepoteza funguo zote za gari.You have lost all your car keys.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunapata taarifa za make, model, mwaka na aina ya ufunguo wa gari.We collect details about your vehicle's make, model, year and key type.
  2. 2Tunaangalia huduma inayohitajika kulingana na mfumo wa gari lako.We identify the service required for your vehicle's system.
  3. 3Tunafanya programming inayohitajika na kuangalia utendaji wa ufunguo.We carry out the necessary programming and check the key's operation.

Unahitaji spare key au umepoteza ufunguo? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Need a spare key or lost your original? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

ECU Programming

ECU programming ni nini?What is ECU programming?

ECU ni computer inayosimamia mifumo mbalimbali ya gari, ikiwemo utendaji wa engine, kutegemea aina ya ECU. ECU programming inahusisha kuweka au kubadilisha taarifa za mfumo ili ECU ifanye kazi kulingana na mahitaji ya gari husika.An ECU is an electronic control unit that manages vehicle systems, including engine operation, depending on the type of ECU. ECU programming involves installing or changing software information so the control unit operates according to the vehicle's requirements.

Dalili kwamba ECU inaweza kuhitaji uchunguzi au programming:Signs that an ECU may need investigation or programming:

  • ECU imebadilishwa lakini gari halifanyi kazi kama inavyotakiwa.An ECU has been replaced, but the vehicle is not operating correctly.
  • Diagnosis inaonesha tatizo linalohusiana na programming ya ECU.Diagnostics indicate a fault related to ECU programming.
  • Kuna matatizo ya mawasiliano kati ya mifumo ya computer ya gari.There are communication problems between the vehicle's electronic systems.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunapata taarifa za gari na historia ya tatizo.We collect vehicle details and the history of the problem.
  2. 2Tunachunguza kama tatizo linahitaji programming au matengenezo mengine.We investigate whether programming or other repairs are required.
  3. 3Tunafanya programming inayohitajika na kuangalia utendaji wa mfumo.We carry out the necessary programming and check system operation.

Una tatizo linalohusiana na ECU? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Having an ECU-related problem? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

Service na MatengenezoMaintenance & Repairs

Service na matengenezo ya gari ni nini?What are vehicle maintenance and repairs?

Service ni utaratibu wa kutunza gari kulingana na mahitaji yake ili kupunguza uwezekano wa matatizo yanayotokana na uchakavu au matumizi ya kawaida. Matengenezo yanahusisha kushughulikia matatizo yaliyopo kwenye mifumo au sehemu mbalimbali za gari.Maintenance involves servicing a vehicle according to its requirements to reduce problems associated with wear and everyday use. Repairs involve addressing existing faults in the vehicle's various components or systems.

Dalili kwamba gari lako linahitaji service au matengenezo:Signs that your car needs maintenance or repairs:

  • Muda wa kufanya service kulingana na ratiba ya gari umefika.Your vehicle is due for its scheduled service.
  • Unasikia sauti zisizo za kawaida au unaona mabadiliko kwenye utendaji wa gari.You notice unusual sounds or changes in vehicle operation.
  • Gari lina shida ya kuwaka, kutembea au kufanya kazi kama kawaida.Your vehicle has difficulty starting, driving or operating normally.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunapata taarifa kuhusu hali ya gari na tatizo uliloliona.We collect information about your vehicle and the problem you have noticed.
  2. 2Tunafanya uchunguzi ili kubaini kazi inayohitajika.We inspect the vehicle to identify the work required.
  3. 3Tunakueleza kazi hiyo kabla ya kuendelea na service au matengenezo.We explain the required work before proceeding with maintenance or repairs.

Gari lako linahitaji service au matengenezo? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Does your car need servicing or repairs? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

DPF, EGR, AdBlue & Catalyst

Huduma hii inahusu nini?What does this service involve?

DPF, EGR, AdBlue na catalyst ni sehemu au mifumo inayohusiana na utendaji wa engine na mfumo wa moshi wa gari. Tunatoa huduma za kuondoa mifumo hii, kutegemea aina ya gari na kazi inayohitajika.DPF, EGR, AdBlue and catalytic converters are components or systems associated with engine operation and vehicle exhaust systems. We provide removal services for these systems, depending on the vehicle and the work required.

Dalili zinazohitaji uchunguzi wa mifumo hii:Signs that these systems need investigation:

  • Warning light inayohusiana na DPF, EGR au AdBlue imewaka.A DPF, EGR or AdBlue-related warning light is on.
  • Diagnosis inaonesha fault codes zinazohusiana na mifumo hii.Diagnostics show fault codes associated with these systems.
  • Gari linaingia kwenye hali ya kupunguza nguvu, inayojulikana kama limp mode.The vehicle enters a reduced-power condition known as limp mode.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunapata taarifa za gari na mfumo unaosumbua.We collect details about the vehicle and the affected system.
  2. 2Tunafanya diagnosis ili kuelewa chanzo cha tatizo.We carry out diagnostics to understand the cause of the problem.
  3. 3Tunakueleza hali ya mfumo na kazi inayoweza kufanyika kulingana na gari lako.We explain the system's condition and the work applicable to your vehicle.

Una tatizo la DPF, EGR, AdBlue au catalyst? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Having a DPF, EGR, AdBlue or catalyst problem? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

Fault Codes (DTCs)Fault Code Repairs (DTCs)

Fault codes ni nini?What are fault codes?

Diagnostic Trouble Codes, au DTCs, ni codes zinazohifadhiwa kwenye computer ya gari pale mfumo unapogundua tatizo au hali isiyo ya kawaida. Kufuta code pekee hakumaanishi kwamba tatizo lililosababisha code hiyo limetatuliwa.Diagnostic Trouble Codes, or DTCs, are codes stored by a vehicle's computer when a system detects a fault or abnormal condition. Clearing a code alone does not mean that the problem responsible for it has been resolved.

Dalili kwamba fault codes zinahitaji uchunguzi zaidi:Signs that fault codes need further investigation:

  • Taa ya check engine inarudi baada ya fault codes kufutwa.The check engine light returns after fault codes have been cleared.
  • Code ileile inaendelea kujitokeza hata baada ya baadhi ya matengenezo.The same fault code keeps appearing despite previous repairs.
  • Gari linaonesha warning lights au matatizo ya utendaji yanayojirudia.Your vehicle repeatedly displays warning lights or develops operational problems.

Tunavyoshughulikia tatizo:How we handle it:

  1. 1Tunasoma fault codes na kupata historia ya tatizo.We read the fault codes and collect the history of the problem.
  2. 2Tunafuatilia chanzo cha tatizo badala ya kufuta codes pekee.We investigate the underlying cause rather than simply clearing the codes.
  3. 3Tunashughulikia tatizo lililobainika na kuangalia hali ya mfumo baada ya kazi.We address the identified fault and check the system after the work.

Una fault code inayokusumbua kila mara? Tuandikie WhatsApp 0712 872 023.Dealing with a recurring fault code? Message us on WhatsApp at 0712 872 023.

Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us
Key programming ya gari kwenye J5Gear
Smart keys za Toyota – J5Gear
Smart keys na remote za magari mbalimbali – J5Gear

Key Programming

Ufunguo umepotea? Tunakusaidia.Lost your car key? We can help.

Ufunguo umepotea, remote inasumbua au unahitaji spare key? J5Gear tunafanya key programming kwa magari ya aina mbalimbali.Lost your key, having remote problems or need a spare? J5Gear provides key programming for various car makes.

  • Kutengeneza na kuprogram spare keysSpare key replacement and programming
  • Programming ya remote na smart keysRemote and smart key programming
  • Kutengeneza funguo zilizopoteaLost car key replacement

Ufunguo wa gari ni sehemu muhimu ya mfumo wa usalama wa gari lako. Kama umebaki na ufunguo mmoja, kuwa na spare key kunaweza kukusaidia pale ufunguo unaotumia kila siku unapopotea au kuharibika. Tunafanya key programming kwa wateja wanaohitaji spare key, wenye remote inayosumbua, wanaohitaji smart key au waliopoteza funguo zote za gari.Your car key is an important part of your vehicle's security system. If you have only one key, having a spare can help when your everyday key is lost or damaged. We provide key programming for customers who need a spare key, have a faulty remote, require a smart key or have lost all their car keys.

Ili tuweze kukuelekeza vizuri, tuandikie WhatsApp ukituma taarifa hizi:To help us understand your requirements, send us the following information on WhatsApp:

  1. 01Make ya gari, mfano Toyota au Nissan.Vehicle make, such as Toyota or Nissan.
  2. 02Model ya gari, mfano Harrier au X-Trail.Vehicle model, such as Harrier or X-Trail.
  3. 03Mwaka wa gari.Vehicle year.
  4. 04Picha ya ufunguo kama bado unao.A photo of your key, if you still have one.
  5. 05Maelezo mafupi kuhusu tatizo la ufunguo.A brief description of the key problem.
Tuandikie WhatsAppWhatsApp Us

Baada ya kupata taarifa zako, tutaangalia aina ya huduma unayohitaji kulingana na mfumo wa gari lako. Tutakueleza kama utahitaji kuleta gari pamoja na ufunguo uliopo na utaratibu wa kupata huduma hiyo. Mahitaji ya programming yanatofautiana kulingana na aina na mwaka wa gari.Once we receive your details, we will identify the service required for your vehicle's system. We will explain whether you need to bring the vehicle and any existing keys, and how to proceed. Programming requirements vary by vehicle model and year.

Hatua kwa HatuaStep by Step

Jinsi tunavyofanya kazi.How it works.

  1. 1

    Tuandikie WhatsAppMessage us on WhatsApp

    Tutumie taarifa za gari lako pamoja na maelezo ya tatizo. Unaweza kutuma picha au video kama itasaidia kuelezea tatizo hilo.Send us your vehicle details and a description of the problem. You can include a photo or video if it helps explain the issue.

  2. 2

    Leta gari kwa uchunguziBring your car for inspection

    Tutakuelekeza namna ya kupata huduma kwenye workshop yetu ya Mwanza au Dar es Salaam. Kama gari linahitaji diagnosis, tutafanya uchunguzi ili kuelewa tatizo.We will guide you on accessing our services at our Mwanza or Dar es Salaam workshop. If diagnostics are required, we will investigate the problem.

  3. 3

    Fahamu tatizo kabla ya matengenezoUnderstand the problem before repairs

    Tutakueleza tulichobaini, kazi inayohitajika na gharama zake. Baada ya kukubaliana nawe, tutaendelea na kazi husika.We will explain our findings, the required work and its cost. Once we have your approval, we will proceed with the agreed work.

  4. 4

    Chukua gari lakoCollect your vehicle

    Baada ya kazi kukamilika, tutakujulisha. Tutakueleza kazi iliyofanyika pamoja na taarifa muhimu unazopaswa kufahamu kuhusu gari lako.We will notify you when the work is complete. We will explain what has been done and any important information you should know about your vehicle.

Kuhusu SisiAbout Us

Hii ndiyo J5Gear.This is J5Gear.

Safari yetu ilianza mwaka 2015. Tangu wakati huo, J5Gear Auto Electrics imejikita kwenye huduma za umeme wa magari, computer diagnosis, programming na matengenezo ya magari ya Japan na Ulaya. Chini ya uongozi wa Jay, tunaendelea kufanya kazi kwa kuzingatia umuhimu wa kuelewa tatizo la gari kabla ya kulitatua. Leo, tunapatikana Mwanza pamoja na Dar es Salaam, tukiwa na utaalamu maalum wa Toyota, Nissan, Subaru na BMW.Our story began in 2015. Since then, J5Gear Auto Electrics has focused on automotive electrical services, computer diagnostics, programming and repairs for Japanese and European cars. Led by Jay, we continue to work with an emphasis on understanding vehicle problems before addressing them. Today, you can find us in Mwanza and Dar es Salaam, with specialist expertise in Toyota, Nissan, Subaru and BMW.

Utaalamu hauna jinsia.Expertise has no gender.

Kwenye J5Gear, tunaamini kwamba kazi ya ufundi inahitaji maarifa, umakini na uelewa wa mifumo ya magari. Tunajivunia kuwa na fundi wa kike ambaye ni sehemu ya timu yetu ya mafundi.At J5Gear, we believe automotive repair requires knowledge, attention to detail and an understanding of vehicle systems. We are proud to have a female mechanic as part of our workshop team.

Kwetu, kinachopewa umuhimu ni utaalamu na kazi inayofanyika, si jinsia ya mtu anayefanya kazi hiyo. Tunapomtambulisha kama sehemu ya J5Gear, tunataka kuonesha mchango wake kwenye timu yetu na nafasi ya wanawake katika taaluma ya ufundi wa magari. Ni sehemu ya timu yetu, na tunajivunia hilo.What matters to us is professional skill and the work being carried out, not the gender of the person doing it. By featuring her as part of J5Gear, we recognise her contribution to our team and the role of women in the automotive repair profession. She is part of our team, and we are proud of that.

Soma zaidiRead more

Sisi ni J5Gear Auto Electrics, wengi wanatufahamu kama 5 Gear. Chini ya uongozi wa Jay, tumekuwa tukitoa huduma za magari tangu mwaka 2015. Tunajikita zaidi kwenye mifumo ya umeme wa magari, computer diagnosis, key programming, ECU programming pamoja na service na matengenezo. Tunafahamu umuhimu wa gari lako katika shughuli zako za kila siku, ndiyo maana tunazingatia kuelewa tatizo kabla ya kuanza kulifanyia kazi.We are J5Gear Auto Electrics, also known as 5 Gear. Led by Jay, we have been providing automotive services since 2015. Our work focuses on vehicle electrical systems, computer diagnostics, key programming, ECU programming, maintenance and repairs. We understand how important your vehicle is to your everyday activities, which is why understanding the problem comes before carrying out repairs.

Tuna utaalamu maalum wa Toyota, Nissan, Subaru na BMW, pamoja na magari mengine ya Japan na Ulaya. Utaratibu wetu unaanzia kwenye diagnosis ili kubaini chanzo cha tatizo kabla ya kufanya matengenezo. Tunakueleza tatizo la gari lako kwa lugha rahisi, hata kama huna uelewa mkubwa wa mambo ya magari. Tunataka ufahamu tatizo lilipo, kazi inayohitajika kufanyika na sababu ya kufanya kazi hiyo.We specialise in Toyota, Nissan, Subaru and BMW, alongside other Japanese and European cars. Our approach begins with diagnostics to identify the cause of a problem before carrying out repairs. We explain vehicle problems in simple language, even if you have little technical knowledge about cars. We want you to understand what is wrong, what work is required and why that work needs to be done.

Tunapatikana Mwanza pamoja na Dar es Salaam. Kama gari lako lina shida, unahitaji spare key au unataka kufanya service, njia rahisi ya kuwasiliana nasi ni kupitia WhatsApp namba 0712 872 023. Unaweza pia kutupigia simu kupitia 0768 481 158. Karibu J5Gear Auto Electrics.You can find us in Mwanza and Dar es Salaam. Whether your car has developed a fault, you need a spare key or your vehicle is due for servicing, the easiest way to reach us is through WhatsApp on 0712 872 023. You can also call us on 0768 481 158. Welcome to J5Gear Auto Electrics.

Fundi wa kike wa J5Gear akifanya kazi kwenye gari
Fundi wa J5Gear akiwa ameshika spana – J5Gear

Kwa Nini SisiWhy Us

Kwa nini uchague J5Gear?Why choose J5Gear?

  • 01

    Tupo kwenye kazi tangu 2015Working on cars since 2015

    Tumekuwa tukitoa huduma za magari tangu mwaka 2015. Uzoefu wetu unatokana na miaka ya kufanya kazi kwenye magari na mifumo yake mbalimbali.We have been providing automotive services since 2015. Our experience comes from years of working with vehicles and their various systems.

  • 02

    Tunafahamu aina ya gari lakoSpecialist knowledge of your car

    Tuna utaalamu maalum wa Toyota, Nissan, Subaru na BMW. Tunafanya pia kazi kwenye magari mengine ya Japan na Ulaya.We specialise in Toyota, Nissan, Subaru and BMW. We also work on other Japanese and European cars.

  • 03

    Utaalamu wa umeme na programmingAutomotive electrical and programming expertise

    Tunajikita zaidi kwenye mifumo ya umeme wa magari, computer diagnosis, key programming na ECU programming. Huduma hizi ni sehemu muhimu ya kazi tunazofanya J5Gear.Our focus includes vehicle electrical systems, computer diagnostics, key programming and ECU programming. These services are an important part of the work we do at J5Gear.

  • 04

    Tunakueleza kabla ya kufanya matengenezoWe explain before we repair

    Tunazingatia kubaini chanzo cha tatizo kabla ya kuanza matengenezo. Tunakueleza tatizo kwa lugha rahisi ili ufahamu kazi inayohitajika kwenye gari lako.We focus on identifying the cause of a problem before carrying out repairs. We explain the issue in simple language so you understand the work your vehicle requires.

  • 05

    Mwanza na Dar es SalaamMwanza and Dar es Salaam

    Tunapatikana Mwanza pamoja na Dar es Salaam. Unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp kupata maelezo ya huduma na maelekezo ya kufika.You can find us in Mwanza and Dar es Salaam. You can contact us directly through WhatsApp for service information and workshop directions.

Picha na VideoGallery

Kazi zetu kwa picha na video.Our work in photos and videos.

Angalia kazi tunazofanya kwenye magari ndani ya workshop za J5Gear.See the work we do on vehicles inside J5Gear workshops.

Tuone InstagramView Our Instagram
Kazi ya kufungua na kujenga upya engine kwenye workshop yetu.An engine rebuild in progress at our workshop.
Service ya engine kwenye BMW nyeupe – J5Gear
Engine ya Subaru iliyotolewa kwenye gari – J5Gear
Kazi ya kujenga upya engine kwenye J5Gear
Kazi ya engine na chini ya gari kwenye Ford Ranger – J5Gear
Service ya engine kwenye Subaru Forester – J5Gear
Mafundi wawili kwenye engine ya Toyota – J5Gear
Spare mpya na vifaa kwa Volkswagen – J5Gear
Kazi ya breki kwenye gurudumu la nyuma la SUV – J5Gear

TunapopatikanaLocations

Tunapatikana wapi?Where to find us

Tunapatikana Mwanza pamoja na Dar es Salaam.You can find us in Mwanza and Dar es Salaam.

  • Mwanza

    Kwa wateja wetu wa Mwanza, tunatoa huduma za computer diagnosis, key programming, ECU programming pamoja na service na matengenezo ya magari. Kama unahitaji huduma yoyote kati ya hizi, tuandikie kupitia WhatsApp. Tutakuelekeza namna ya kupata huduma na kukutumia location pin ya workshop yetu.Our Mwanza workshop provides computer diagnostics, key programming, ECU programming, vehicle maintenance and repairs. If you are in Mwanza and need any of these services, contact us through WhatsApp. We will explain how to access our services and send you the workshop's location pin.

  • Dar es Salaam

    Upo Dar es Salaam na gari lako linahitaji diagnosis, key programming, ECU programming au matengenezo? Tunapatikana pia Dar es Salaam. Tuandikie WhatsApp ukitueleza huduma unayohitaji na aina ya gari lako. Tutakupa maelezo ya huduma pamoja na maelekezo na location pin ya kufika kwenye workshop yetu.Are you in Dar es Salaam and need vehicle diagnostics, key programming, ECU programming or repairs? We are also available in Dar es Salaam. Message us on WhatsApp with your vehicle details and the service you need. We will provide service information, directions and the workshop's location pin.

MaswaliFAQ

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.Frequently asked questions.

Mnafanya magari ya aina gani?What types of cars do you work on?

Tuna utaalamu maalum wa Toyota, Nissan, Subaru na BMW. Tunafanya pia magari mengine ya Japan na Ulaya. Kama una gari la aina nyingine, tutumie taarifa zake kupitia WhatsApp ili tuangalie kama tunaweza kukuhudumia.We specialise in Toyota, Nissan, Subaru and BMW. We also work on other Japanese and European cars. If you have a different make, send us your vehicle details on WhatsApp so we can confirm whether we can assist.

Nimepoteza funguo zote, mnaweza kunitengenezea ufunguo mwingine?I have lost all my car keys. Can you make another one?

Ndiyo, tunatoa huduma ya lost key programming. Hata hivyo, utaratibu wake unategemea na gari. Tutumie make, model na mwaka wa gari lako kupitia WhatsApp ili tukuelekeze.Yes, we provide lost car key programming services. However, the process depends on the vehicle. Send us your car's make, model and year on WhatsApp so we can guide you.

Lazima nilete gari kwa ajili ya key programming?Do I need to bring my car for key programming?

Inategemea na gari na aina ya huduma unayohitaji. Baadhi ya kazi za key programming zinahitaji gari liwepo. Tuandikie WhatsApp kabla ya kuja ili tukueleze kinachohitajika.It depends on the vehicle and the service required. Some key programming procedures require the car to be present. Message us on WhatsApp before visiting so we can explain what is needed.

Nitajuaje gharama ya huduma ninayohitaji?How do I find out how much a service will cost?

Gharama inategemea na gari, aina ya tatizo na kazi inayohitajika. Tutumie taarifa za gari lako kupitia WhatsApp. Kwa baadhi ya matatizo, tutahitaji kufanya diagnosis kabla ya kukueleza gharama ya matengenezo.The cost depends on the vehicle, the problem and the work required. Send us your vehicle details on WhatsApp. Some problems require diagnostics before we can determine the repair cost.

Mnapatikana Mwanza au Dar es Salaam?Are you located in Mwanza or Dar es Salaam?

Tunapatikana Mwanza pamoja na Dar es Salaam. Tuandikie WhatsApp ukitueleza upo mji gani, tutakutumia maelekezo ya kufika kwenye workshop husika.We are located in both Mwanza and Dar es Salaam. Message us on WhatsApp with your preferred city, and we will send you directions to the relevant workshop.

Taa ya check engine imewaka. Ina maana gani?My check engine light is on. What does it mean?

Ina maana kwamba mfumo wa computer ya gari umegundua tatizo au hali isiyo ya kawaida. Sababu inaweza kuwa ndogo au kubwa, hivyo diagnosis inahitajika ili kuelewa tatizo. Kama taa hiyo inawaka na kuzima mfululizo, simamisha gari mahali salama na pata ushauri kabla ya kuendelea na safari. Tuandikie WhatsApp kwa maelekezo.It means your vehicle's computer has detected a fault or abnormal condition. The cause could be minor or serious, so diagnostics are needed to understand the problem. If the light is flashing, stop somewhere safe and seek advice before continuing your journey. Contact us on WhatsApp for guidance.

Matengenezo ya gari yanachukua muda gani?How long will my car repair take?

Inategemea na gari, tatizo lililopo na kazi inayohitajika. Tuandikie WhatsApp ukielezea tatizo lako ili tuweze kukupa maelekezo kuhusu utaratibu wa huduma.It depends on the vehicle, the problem and the work required. Message us on WhatsApp with a description of the issue so we can guide you through the service process.

Naweza kuwatumia picha au video ya tatizo la gari?Can I send you a photo or video of my car problem?

Ndiyo. Unaweza kututumia picha ya dashboard, warning light, fault code au video inayoonesha tatizo kupitia WhatsApp. Taarifa hizo zinatusaidia kuelewa tatizo, ingawa wakati mwingine tutahitaji kulichunguza gari lenyewe.Yes. You can send us a photo of your dashboard, warning light or fault code, or a video showing the problem through WhatsApp. This helps us understand the issue, although a physical vehicle inspection may still be necessary.

Mnafanya ECU programming?Do you provide ECU programming?

Ndiyo, ECU programming ni mojawapo ya huduma tunazotoa. Aina ya programming inayohitajika inategemea na gari na mfumo wake. Tutumie taarifa za gari pamoja na maelezo ya tatizo kupitia WhatsApp.Yes, ECU programming is one of our services. The type of programming required depends on the vehicle and its system. Send us your vehicle details and a description of the problem on WhatsApp.

Ninawezaje kupanga kuleta gari kwa ajili ya huduma?How do I book a service?

Tuandikie WhatsApp kupitia 0712 872 023. Tueleze aina ya gari, huduma unayohitaji na kama upo Mwanza au Dar es Salaam. Tutakuelekeza kuhusu utaratibu wa kupata huduma. Unaweza pia kutupigia simu kupitia 0768 481 158.Message us on WhatsApp at 0712 872 023. Tell us your vehicle type, the service you need and whether you are in Mwanza or Dar es Salaam. We will guide you through the process. You can also call us on 0768 481 158.

MawasilianoContact

Gari lina shida? Tuongee.Car trouble? Let's talk.

Tueleze tatizo la gari lako kupitia WhatsApp au tupigie simu.Tell us about your car problem on WhatsApp or give us a call.

Unatafuta fundi umeme wa magari Mwanza au Dar es Salaam? J5Gear Auto Electrics tunatoa huduma za computer diagnosis ya gari, key programming, ECU programming, service na matengenezo ya magari ya Japan na Ulaya. Tangu mwaka 2015, tumekuwa tukifanya kazi kwenye magari, tukiwa na utaalamu maalum wa Toyota, Nissan, Subaru na BMW. Kwa wanaotafuta huduma ya key programming Tanzania, tunashughulikia spare keys, remote, smart keys na funguo zilizopotea. Kama gari lako lina check engine, fault codes zinazosumbua au tatizo la mfumo wa umeme, wasiliana nasi kupitia WhatsApp kupata maelezo ya huduma.Looking for an automotive electrician in Mwanza or Dar es Salaam? J5Gear Auto Electrics provides car computer diagnostics, key programming, ECU programming, maintenance and repairs for Japanese and European vehicles. We have been working on cars since 2015, specialising in Toyota, Nissan, Subaru and BMW. For customers looking for key programming in Tanzania, our services include spare keys, remotes, smart keys and lost car keys. If your vehicle has a check engine warning, recurring diagnostic trouble codes or an electrical problem, contact us through WhatsApp for service information and workshop directions.